Acha tu mama aheshimiwe sana!!
Sema mie 1st born wangu kazi ilikua ni kukaangalia tu kukaweka vizuri na kubadili diapers lakini alikua halii kabisa utadhani hakuna Mtoto mchanga ndani hadi watu walikua wananiuliza hivi Humu si kuna kachanga Kwani?? Yani usiku alikua halii kabisa halii hata ile kidogo!!!
Hongera sana dear!