Afadhali umenisaidia madam
Hata muasisi wa Taifa hili alikua mwalimu
Walimu mna mchango mkubwa sana kwa Taifa hili, na nyinyi ndiyo mnaoishi na jamii zetu huko mnatusaidia kuondoa ujinga na umakini wenu umedhihirishwa na aunt yangu
sophy27 asubuhi hii amezingatia maelekezo akaiwahi vocha yake chap