Selfika na JF: Snap it. Show it


Hongera dear
Baby shower ya maana naomba utualike muda ukifika.
 
Kumbe na wewe una ka junia?
Hii baridi mwaka huu imetuletea shidaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
Mwanangu sio Junia, tafadhari sanaa.

Ana jina lake zuriii tyuuh, akuuuu sitakiiii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], baridi imefanya nn? Muda wa kutotoa yai language umefika. Acha niatamie mie.

Huhuhuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…