Wee Lab technician alichanganya bana navenye sikuhizi prac maandalizi sio 24 hours kama zamani sikuhizi 3 hours dadeki
imefika muda wa kuwaingiza madogo tunamuuliza anasema badooo.. wee mwalimu bado vipi Tena saa nne hii hapa ndio tukaanza kuparangana kusaidiana!!