makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,453
- 108,534
[emoji23] na katokelezeaaMuhuni katika harakati zangu nikapora suti sehemu, uchawi viatu.. [emoji848]
Nikapora na viatu, kisha mzee huyooo nikaenda kuupiga mpunga,
Wakashindwa tofautisha baina ya bwana harusi na mimi mzamiaji yupi ni muoaji [emoji23][emoji1787]
Chupuchupu nipewe mke ukumbini[emoji23][emoji1787]
We umeniponza, si umesema sehemu saa hizi watu wamelala, 😂🤣[emoji23] na katokelezeaa
Nachafua uzi wako, zikifika post 10 unishitue, tuanze kufuta ushahidi.Ingawa maisha ni mafupi, mtu anapaswa kuishi na kutenda kwa njia ambayo mafanikio yake yanamletea yeye na nchi yake jina zuri milele. Ikiwa hatatumia mafunzo yake kwa malengo yanayofaa, atakuwa adui kwake mwenyewe na kizuizi kwa wengine. Hakika atakuwa mgonjwa hali ya kuwa ni mzima na amekufa angali hai”.
Joan ana balaaa.Yuko vizuri sana .Mbona emoj kuubwa
Mida hii wamelala
Nokia angekuwa mtu kila mwaka tungekuwa tunamsomea dua kwa yale mema marehemu aliyotutendea[emoji23]Long taim kiitambo mjini azania sec.. Smartphone bado.
Hii ilikuwa ni kwa msaada wa nokia n83 kama sikosei.
Nokia angekuwa mtu kila mwaka tungekuwa tunamsomea dua kwa yale mema marehemu aliyotutendea
Nokia was the best kwa kweli.Nokia angekuwa mtu kila mwaka tungekuwa tunamsomea dua kwa yale mema marehemu aliyotutendea[emoji23]
Salaam jirani!Salam kwenu wadau...
Vizuri jirani..Kwetu baridi kali.Salaam jirani!