Eeh nisamehe rafikiJana nikasubir mpka saa nane usiku Ila wanawake jaman tuteseni tu [emoji856][emoji26]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hahaha SawaEeh nisamehe rafiki
Nilivyokula tu usingizi huo ... Si unaona hali ya hewa chap tu umelala zako .
Salaam zimefika...
Yeah Mr
Sina picha
Kweli mara mwisho kupiga sijui ilikuwa lini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani ww huwa unapendeza sana tu nikionaga picha ako siku yangu inakua poa sana hata kulala nalala vizur yaniKweli mara mwisho kupiga sijui ilikuwa lini
Toka nijue hazinipendi basi sihangaiki kuzipiga
Nini sasa jirani [emoji28]Dah [emoji3][emoji3]
JamaniSasa wewe umefichwa huko TAzara
Ebu kaa kwa kutulia mrembo
Aisee..😂😂😂😂😂
Tangia lini Dar pakachosha😁😁
Me Mtakatifu, Mie bikra wa kiume sijui mathusi, nipo under 26Em nipe sababu 3 za kwanini atakua comfortable na wewe
Hujambo jirani..
Safi kabisa jirani.....Hujambo jirani..
Nipe location jirani nitembelee...Weee usiseme hivyo 🤣🤣 me nashinda na wakulima hapa na hakuna anaelima for fun…
Huyu mtoto haichoki Dar khaa
🤣🤣🤣Me Mtakatifu, Mie bikra wa kiume sijui mathusi, nipo under 26