Hivi kumbe zurri Ni jina la mtu eeh?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣Aisee[emoji1787][emoji1787]heri nikufe
Dada Hawachi ona huyu anavyoichezea bahati kwa Kaka ustadh[emoji1787][emoji1787]heri nikufe
Mimi ya atoto ilinipita nipo hapa hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Siku nyingine mpendwa [emoji16][emoji16]
Kumbe ndiyo maana nilikuwa sielewi kinachoongelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]La mtu kivipi?? La mzizi hilo!!
Dah Atoto alituma nimeikosa
HayaMimi ngangari dada
Kumbe ndiyo maana nilikuwa sielewi kinachoongelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe Ni mzizi [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani Mimi nilipitwa nipo hapa hapaDah Atoto alituma nimeikosa
Haya
Njoo
Ya mtende[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bahati??[emoji1787][emoji1787]
Mambo yake siyo kabisaKaka mambo yako banaaa
Nakutumia piemuni njooHawachi jamani kweli ndiyo hautaki kunitumia picha yako?? Na ninavyokukubali mimi jamani daah[emoji26][emoji26]
Hembu tumuulize vizuri Depal.Hata mimi nimehisi tu[emoji2][emoji2]
Laiti kama mngejua wadhifa wa Zurri kwenye hii Nchi sitaki kuandika mengi.
Wee[emoji7][emoji7][emoji7]Laiti kama mngejua wadhifa wa Zurri kwenye hii Nchi sitaki kuandika mengi.
Ushatoka baharini mdogo wangu mzuriSasa si unakuja kunichukua eti jamani??