Imebidi nijiangalie mie niliyeungana kifua, tumbo na mgongo. Ngoja niendapo kule gym sijui
Niongeze nyingine bana
Tena yupo muda huu[emoji1787]
Yupo kule Uzi wa jf usiku wa mananeAise bado hajalala tu??
Lalaa
[emoji38][emoji38][emoji38] shughuli pevu
Umeniwahi.,[emoji134][emoji24].
Nilitaka nifute kabla hujamaliza kuquote
😄😄😄😘😘😘😘[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]moyo umetulia sasa
Umepitwa na gari stendi[emoji1787]
Nilitaka unavyomaliza kuiquote niwe nimeshaifuta[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]anha kwahiyo ulitaka nisiione eenh??
Yupo kule Uzi wa jf usiku wa manane
😊😊😊🙏🏽🙏🏽🙏🏽Hapo sawa[emoji7][emoji7][emoji7]
Bahati yako[emoji1787][emoji1787]Nimeona katuma tena mefurahi yaani
Walau Leo umetukumbuka maana ulishautosa Uzi😁Nilitaka unavyomaliza kuiquote niwe nimeshaifuta
Hapo sawa[emoji7][emoji7][emoji7]
Hahahaha..Umemuona fan mwenzio wa 'livapulu'??
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]