Baby nataka kiweYooo….
Jambazi me mwenyewe, namtafuta starring hapa😁Movie gani hiyo 🙎🙎🙎 staring ni nani na jambazi ni nani
😬😬😬😬 anza kuchagua style ya kifo mwenyewee 🤣🤣🤣 hapo staring ni bruce leeJambazi me mwenyewe, namtafuta starring hapa😁
Hatari sana, weka mbali na watoto😂😂Gaidi la ki Arusha hilo au la ... 🤣🤣
🤠🤠🤠 defender ina husika haoHatari sana, weka mbali na watoto😂😂
Kifo cha mende au basi me nitakua staring😂😂😂😬😬😬😬 anza kuchagua style ya kifo mwenyewee 🤣🤣🤣 hapo staring ni bruce lee
Ninajaribu kuitafuta sauti inapotokeaBaby nataka kiwe
Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo
Ukicheka me nitacheka nawe
Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo
Ukinuna nitanuna nawe
Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo
Ukicheka me nitacheka nawe
Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo
Ukinuna nitanuna nawe
🔥🔥🔥🔥🔥 sauti ni ...
😬😬😬😬😬Kifo cha mende au basi me nitakua staring😂😂😂
acha kabisaaa.. ukisikia inapotokea na mie uniitie tuisikie wote , bila hujumaNinajaribu kuitafuta sauti inapotokea
Nimeiona hello Friday tu.View attachment 2270654
Wacha tuendelee kucheza na Wajukuu, wakati huu wa Mwisho wa Wiki💪
Hello Friday 🥂
Hujuma nitaiweka kando Kwa few seconds 😂acha kabisaaa.. ukisikia inapotokea na mie uniitie tuisikie wote , bila hujuma
Babu miss youView attachment 2270654
Wacha tuendelee kucheza na Wajukuu, wakati huu wa Mwisho wa Wiki💪
Hello Friday 🥂
Nyie 🤣🤣🤣🤣Ndiwoooo😂😂
Sawa jambazi chali cha mende 😬😬
Me steringiiiiSawa jambazi chali cha mende 😬😬
toka lini umekuwa staring chali cha mende kama kawaMe steringiiii
huyu mtoto 🙎🙎