CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Nisamehe kaka mkubwaUnanikosea sana na
Mwandiko wa magharibi
Kiswahili huelewi[emoji848]
Is it a bigger bed? there's no point sleeping on a cold and uncomfortable, just share it, tafuta Yutong joto lake ni π₯π₯Sina jinsi sheikh,,
the bed is getting cold and she's not here[emoji16]
Ila kweli,, sema it's lateIs it a bigger bed? there's no point sleeping on a cold and uncomfortable, just share it, tafuta Yutong joto lake ni [emoji91][emoji91]
Una note point πππππ
Kumbe!!!!!!π€π€π€Wanawake sijui kama mnajua hili itikio lilivyo na nguvu kwetu. Yaani mwanaume ukiitikiwa hivi hata kama ulikuwa na hasira unajikuta unatabasamu tu yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
njaaa π₯²π₯²Kumbe!!!!!!π€π€π€
Si nimeona mmekula dinner saa 1, ngoja minyoo ya kiluguru iwakomeshe tumboniπ€£π€£njaaa π₯²π₯²
Dinner mie nilikuwa nimefunga 24hr ππππ..Si nimeona mmekula dinner saa 1, ngoja minyoo ya kiluguru iwakomeshe tumboniπ€£π€£ππ
Bado huja-break the fast au ndiyo ulionja tu?Dinner mie nilikuwa nimefunga 24hr [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]..
Kabisa, wanawake hawajui tu!Una note point ππ
πππ na break badae kidogoBado huja-break the fast au ndiyo ulionja tu?
Hongera sanaπππ na break badae kidogo
Tayari wamejuzwa, sasa humu zitakuwa abeee kama wanalipwaa π€£π€£Kabisa, wanawake hawajui tu!
π€£π€£Tayari wamejuzwa, sasa humu zitakuwa abeee kama wanalipwaa π€£π€£
Abeeeeeeeeee π€£π€£π€£π€£ππTayari wamejuzwa, sasa humu zitakuwa abeee kama wanalipwaa π€£π€£
Nimekurushia jero kwa m-pesa yako πππ kila abeee moja jeroAbeeeeeeeeee π€£π€£π€£π€£ππ