[emoji1545][emoji1545][emoji1545] kulia toka upande gani? Kwa mara ya kwanza umenijali[emoji1]Wa kwangu ni huyo wa kwanza kutoka kulia,hao wengine wote namuachia mtu alieanzisha huu uzi[emoji847][emoji847][emoji847]
View attachment 2269477
Nashukuru kwahilo ππSanchworld wa jf!
Hahaha itabidi uwe unanitag! Maana mpaka Sasa lako ndo linashikilia rekodi!
Njoo utatukutaπHatari...hujakutana na Christine1
πππTutawezana tuu mrembo. Nina subiria hiyo jioni naona kama haifiki vile. Vipi ulishaonana na bwana _King ?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!! Hatari nanusu hio mjomba!!
selfika nikuone photogenic wetu jamani!!πππ
Tupooo
Songesha hana utani πππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!! Hatari nanusu hio mjomba!!
Wanakua kazini mjomba Hakuna kurembaa!!Songesha hana utani ππππ
Niliweka jirani kabla haijapotea...Jirani myoyambendi bado hujapigapo jirani?????
Saa ngapi jiranii mbona siioni??Niliweka jirani kabla haijapotea...
Hata sijaiona na hujanitag jirani sawa tu!!ππππNiliweka jirani kabla haijapotea...
Huwa inauma sana, umemuambia mtu atume hela, ukasahahu kumuambia labda atume bank au mtandano mwingine, unakuta kairusha ulipo na deni huwa kuna ka uchungu flanii hivi πππ unashukuru kiunyongeeNgoma draw
Usijali jirani...kuna ingine itakuja.Hata sijaiona na hujanitag jirani sawa tu!!ππππ
Weeee ushunguu hatari mjomba!Huwa inauma sana, umemuambia mtu atume hela, ukasahahu kumuambia labda atume bank au mtandano mwingine, unakuta kairusha ulipo na deni huwa kuna ka uchungu flanii hivi πππ unashukuru kiunyongee
Irudie hio saivi dakika sifuri jirani!Usijali jirani...kuna ingine itakuja.