. Ikawe siku yako yenye heri na kumbu kumbu nzuri hapa duniani... Ukawe Nuru, na Neema Kwa watu wote.. Muumba azidi kukuimarisha zaidi katika afya, akili, hekima na maarifa... Iwe siku njema kwako
Saint Anne kheri ya siku ya mfanano wa kuzaliwa ndugu
Ni siku ambayo kwako nahisi itakuwa ya shamlashamla kwa kidogo ulichojaaliwa kulingana na riziki zake Jalaali Insh'Allah
Japo usiwasahau wale waliokufanya ujipongeze kwa siku ya leo , namaanisha baba na mama yako kama wapo wakumbuke leo kwa chochote ila kama hawapo , wakumbuke katika swala na kheri huko waliko.