Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
[emoji23][emoji23]Itakua Yaliwakuta kipenzi!! Akaona aje kutuchamba mambonge[emoji1732][emoji1787][emoji1787]!!
Wamelala hebu selfika kiduchu tu mrembo[emoji1]Yeeeeeeh [emoji328]
Umeona mwenzako hajaogopa gold ππππSafi sana baba pasta kiatu chenyewe kabisa
Selfika bas rafikiRafiki
Selofukaa bhas
Nahisi ndiyo hivyo, na mie nilikuwa chembambaaaaa chelewa ikasomeee. Nikanenepa chuoni. Nilivyomaliza chuo nikaendelea na mwili wangu. Sasa hivi ndiyo napungua pungua, nategema nipungue zaidi.
Mwili woteee mweupe toto la kiarabu hilo.. πππβοΈHuyo mrembo inaelekea upaja wake utakuwa mweupeeeπ unajilia vitamu
Aah nimeona msalime sana πππUmeona mwenzako hajaogopa gold ππππ
Wacha kabisa, mpaka shepu ikawa haionekani [emoji28][emoji28]Hebu tuonee wewe ulivo Saivi!! Mie Saivi nimepungua sana ni nilikua bonge hadi Vibaya!!
Ndio hii mikono iloshika kibamiaπ€π€
ππππ Usiogope siku ingineAah nimeona msalime sana πππ
Ila gold nitazijia tuu
Why jamani?Nahisi ndiyo hivyo, na mie nilikuwa chembambaaaaa chelewa ikasomeee. Nikanenepa chuoni. Nilivyomaliza chuo nikaendelea na mwili wangu. Sasa hivi ndiyo napungua pungua, nategema nipungue zaidi.
Mzee unapenda totoz nyeupe...utakuwa msukuma weyeMwili woteee mweupe toto la kiarabu hilo.. πππβοΈ
[emoji1787]Ndio hii mikono iloshika kibamia[emoji848][emoji848]
Hebu tukaone ka body basi?Sitaki ubonge sana ila nataka nyama kiasi ziongezeke.
Mie pia nilikua chembambaaa hatari... sema mie nilianza kunenepa baada ya umaliza olevo walai nilijaaa maeneo uwiiiiiiiiii!! Shida za dunia sasaπ€π€ !!Saivi nimepungua sana!!Nahisi ndiyo hivyo, na mie nilikuwa chembambaaaaa chelewa ikasomeee. Nikanenepa chuoni. Nilivyomaliza chuo nikaendelea na mwili wangu. Sasa hivi ndiyo napungua pungua, nategema nipungue zaidi.
Acha tu, mtoto rangi ya gold.. unywele gold.. lazima akili iwakeMzee unapenda totoz nyeupe...utakuwa msukuma weye
Itabid niache uoga napishana na vitu vizuri ππππππ Usiogope siku ingine
Here waiting sweetheart ππ!!ππWait wait natuma dear. Naisaka Kwa gallery