Ukija Arusha utaoga maji ya moto. Ushawahi kuingia bafuni kuoga kisha ukatundika nguo zako ile unataka kufungulia maji uoge ghafla unasikia sauti inakuambia "oga hayo maji ya baridi ufe sasa hivi"!.