Selfika na JF: Snap it. Show it

Gallius
Hapo ndio nimejitahidi sana ‘ tena ni right hand..View attachment 2256500

Una kucha nzuri mno..

Hizo ukipaka light green colour utadamshi hatari...

Hizo necklace nimenunua kama tatu nimeishia kugawa kwa warembo..

Ngoja nitanunua nyingine tena..

Halafu kama uko na mguu wa bia, high heels na kama ni mvuaji wa skirt ukivaa inayoishia kwa magoti ukachomekea ukafungua vifungo kadhaa vya shati ukatumia na official coat..

Utasumbua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…