Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Portable on point yani mm nikionaga portable tu hata ninapoenda nagairi nipo dar nikapanda gari asubuh asubuh niwahi dodoma khee nikakaa na portable aisee niliunga Safari mpka mwanza wakti na nikakosa hyo portable[emoji47][emoji47]
Mwee ni huzuni, pole .Portable on point yani mm nikionaga portable tu hata ninapoenda nagairi nipo dar nikapanda gari asubuh asubuh niwahi dodoma khee nikakaa na portable aisee niliunga Safari mpka mwanza wakti na nikakosa hyo portable[emoji47][emoji47]
Amen! Atapona mpendwaGet well soon [emoji120][emoji120]View attachment 2256367
Thanks on behalf [emoji120][emoji120]Amen! Atapona mpendwa
Wanawake mna mateso sana nyie sitasahau hivi viportable vina mikasa ya kutisha kwanguMwee ni huzuni, pole .
Taratibu basi humu vipotabo wengiWanawake mna mateso sana nyie sitasahau hivi viportable vina mikasa ya kutisha kwangu
[emoji1787] we nawe una majanga mnoWanawake mna mateso sana nyie sitasahau hivi viportable vina mikasa ya kutisha kwangu
Hahaha hata ww pia Shem ni portableTaratibu basi humu vipotabo wengi
[emoji23][emoji23] Nini 5k, wapo waliolamba hadi 25k hatari tupuDah we jamaa imeniuma sana yaan leo nimeunga bando la elfu 1 mb 600 hafu nakutana na Asante King kwa muhamala wa 5k.
Man, wallah sileti uji ukienda jela.
Mwee ni huzuni, pole .
NdiooooHahaha hata ww pia Shem ni portable
Oyoooo[emoji126]Portable huwa si wachovu kwenye yale mambo, kwanza unamkunja kunja kama rubber band yaani kuwa nao raha mno...
Umegusa mule mule yaniPortable huwa si wachovu kwenye yale mambo, kwanza unamkunja kunja kama rubber band yaani kuwa nao raha mno...
Mabonge tunakomajeee mnatuchamba hatari !!🤣🤣🤣Taratibu basi humu vipotabo wengi
Seft basi nione Shem nipoze machungu hapaNdioooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabonge tunakomajeee mnatuchamba hatari !![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wee na nyie mna utamu wake huoni watu wanavyohaha humu [emoji23][emoji23]Mabonge tunakomajeee mnatuchamba hatari !![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vile mnatusema eti tunajitupa chini pwaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina hata pic full hadi nikipiga mazingira hayaniruhusu muda huuSeft basi nione Shem nipoze machungu hapa