Jmaa.. nilimiksi hyo JackD doo kidogo nizime.. 🤣🤣 Nikiona neno kuzima 🤣🤣🤣🤣
www.jamiiforums.com
nusu saa iliyopita nilikuwa napata mchanganyiko wa matunda mbalimbali katika hotel moja nzuri sana hapa mwanza.
hotel hii inapatikana pembezoni barabara ya makongoro . wale watu wa jiji la mwanza mnaopenda vitu vizuri bila shaka mtakuwa mmeshafahamu jina la hii hotel.
copy to Karma.