Selfika na JF: Snap it. Show it

Umeonogaa
 
Rangi zinakupenda dear
Looking gorgeous
 
Hali ya hewa nzuri kweli ... What a relief
Ah huko balaa
Sio kwa baridi hilo
Mtu ambaye hajawajahi kukaa mikoa ya baridi akija huko duh shida .
Kuishi Kwangju dar kote na joto LA miaka hiyo sijawahi oga maji ya baridi🙈
Sahivi naambiwa kuna baridi kiasi na upepo,nakuja na sweta kabisa
Dar ya sahiv sio km ya miaka iliyopita joto LA kwaida sana
 
Mimi nakuelewa vizuri, maana colors hazinisumbui; nagonga tu yulee. Watu wengi wasiopenda crazy color hata ikiwa moja tu hawakuelewi; afu ukizichanganya ndiyo hawakuelewi kabisa. We good to go wizo ake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…