Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
WasalimieNdio kubembelezwa raha Kwani hujui???
Haya wacha nipite kushoto mimi kaka as simple as this[emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Maisha yanaendelea kama kawaidaaaaaa!!Wasalimie
Wamiliki wanakera,tutaandamana[emoji3][emoji3][emoji3] kuhani mkuu captan marvelous naona amekata kauli Sasa sipati picha ninyi wafuasi mna Hali gani
Wewe na nani
Na wafuasi wote [emoji16]Wewe na nani
[emoji1787][emoji1787]
Tuwekee picha shoga,Ndio kubembelezwa raha Kwani hujui???
Haya wacha nipite kushoto mimi kaka as simple as this[emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu wetu hapa selfka
Hana ufuasi wala nini
Ni upepo fuata bendera
Kwa nilivowagandisha tangu asubuhi acha tu wateme nyongo πΆπ½ββοΈ!!Tuwekee picha shoga,
Achana na Wige ashalewa hapo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Depends na anavyoita huyo mkeoDuh, uitwe daddy na mkeo, hata hainogi...ukute sasa mwingine huko wapi anaanza kuita daddy...aaaagr
Nipasie mkuu!Humu kuna Tandam
Zimesimamia kucha
Kuna Modo za ukweli
Halaf haziringi wala nini
Kumbe umewazungusha sana[emoji38]Kwa nilivowagandisha tangu asubuhi acha tu wateme nyongo [emoji2216]!!
Big boy mwenyeweNipasie mkuu!
Au sie ni fungu la kukosa?
Selfika hilo tege
Ndio wako sahihi kabisa . siunajua maneno ya mkosaji .Sasa amesubiria mpaka mshipa umesinyaa wenyewe unategemea nini ππΆπ½ββοΈ!
Ndicho kilikuwa kitu cha kwanza nilipofika hapa leoSelfika hilo tege
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio. siunajua maneno ya mkosaji!!! Wamesubiria mpaka mishipa imesinyaa yenyewe [emoji41][emoji2216]!
Wasuse sasa ieleweke sio kuleta shombo ππΆπ½ββοΈ !![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inabidi uwaapooze sasa.
Mimi mwenyewe huwa karoho kananiuma mtu akinizungusha sana na picha.
Mfano huyu Post M-alone alinizungusha na picha yake hadi nikasusa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mtu akizingua si unampotezea tu Kwani ππΆπ½ββοΈ![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]