Good morning 🌅 my lovely darling mtoto wa kike uliyebarikiwa hakika ukabarikika! It's soo wonderful day having you as a blessing in my life, morning kisses 😘😘😘 to you mrembo mpole mwenye hekima na busara tele. Acha watu wavimbe na wapasuke wenye wivu, husda na roho mbaya zao kutwa kukuonea wivu wakati hata 1% hawajakufikia. Morning to you again
Yna2 kwanzia nianze kufatilia uzi wa selfika hakika hakuna anayekufikia hata unyayo tuu bado na kwenye hela umewazidi mbali mno. Amka mamito
Yna2 uianze siku yako kwa furaha na amani tele. Allah akufanyie wepesi katika kazi zako na akaibariki kazi ya mikono yako! We 💕 you
Yna2