Selfika na JF: Snap it. Show it

hahahaaaa!!
Acheni uchoyo bwana mbona sasa na nyyie warembo huku mnataka kuwa kama wa badoo kuwa picha mpaka tutume bando na vocha🀣🀣🀣🀣🀣

Mkumbuke jamani misambwanda hiyo mlipewa buree na mama zenu...sambaze i upendo
 
Hizo vocha hazihusiani na picha kabisa ni mnasambaza tu maupendo kwa dada/shangazi zenu wa selfika πŸ˜‰!
Acheni uchoyo bwana mbona sasa na nyyie warembo huku mnataka kuwa kama wa badoo kuwa picha mpaka tutume bando na vocha🀣🀣🀣🀣🀣

Mkumbuke jamani misambwanda hiyo mlipewa buree na mama zenu...sambaze i upendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…