Niko bize kidogo. Jumamosi hii binti yangu anamaliza Middle School anakwenda High school. Nakwambia nakomaje. Kuna kwenda kutengeneza sijui nywele. Hivi ndo tumetoka kwenye kucha. Bado kuna gauni sijui lifanyweje. Na kesho kuna appointment ya kutengeneza kope na kupiga picha. Watoto wa kike kazi sana. Lingekuwa liJunia yaani ingekuwa ni haircut tu barbershop kazi kwisha....
Ni valedictorian na anataka ang'are sawasawa. Shida tupu yaani