Selfie

Wanaekti movie eti..?????
teh teh teh
 
hapana
huyo kaka ndo ana hela
haiwezekani....yaani huyo kaka awe na hera ashindwe kuchukua kitu kama wewe anaendea minyama hiyo...sasa kama anataka hiyo minyama si angenunua sambusa!!
 
haiwezekani....yaani huyo kaka awe na hera ashindwe kuchukua kitu kama wewe anaendea minyama hiyo...sasa kama anataka hiyo minyama si angenunua sambusa!!

hahahahahahaah
uwezi jua bana kila mtu kuna anachopenda mwingine
papuchi ndogo mwingine papuchi kubwa
mwingine kimbau mbau mwingine manyamanyam
 
hahahahahahaah
uwezi jua bana kila mtu kuna anachopenda mwingine
papuchi ndogo mwingine papuchi kubwa
mwingine kimbau mbau mwingine manyamanyam
haya bana ila mimi hapo hujanipata...minyama hiyo kwani naenda kuila!
 
haya bana ila mimi hapo hujanipata...minyama hiyo kwani naenda kuila!

mi nakwambia tembea uone kuna watu wanapenda vitu vya ajabu kutoka kwa wapenzi wao
KUNA WENGINE WANAPENDA NUNDU
ANAPENDA MWANAMKE MWENYE MANUNDU NA ALAMA ALAMA
 
ila wamependeza...wanaonekana wako kwenye mahaba mazito..dah i wish
 
mi nakwambia tembea uone kuna watu wanapenda vitu vya ajabu kutoka kwa wapenzi wao
KUNA WENGINE WANAPENDA NUNDU
ANAPENDA MWANAMKE MWENYE MANUNDU NA ALAMA ALAMA

Kweli kabisa masai dada, kuna jamaa alimpenda binti toka Iringa alikuwa na chale kubwa sana pembeni ya macho yake, binti alikuwa anataniwa kachanjwa kwa panga c wembe lakini jamaa ndo alikufa kwake na leo ni mke na mume.
 
Huyo manzi aliamua kuchukua selfie kwa ajili ya kuwaonyesha watu kuwa jamaa sasa hivi ndio vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…