Wamekulupua huko alikokuwa amekuja na manati yake, sandals amegeuza. Wasumbufu sana.Naona dogo wa pembeni kashika na manati kabisa.
booooom.......
mh me simo, kuna kaka zao humubooooom.......
madogo wako kwenye zoezi LA kujitoa muhanga
Kanikumbusha nikiwa mdogo kubadili malapa miguuniLazima kuna kitu walikuwa wanaangalia kwenye soli ya kiatu alau huyo mdogo yuko makini kweli.