Selfie in Hong Kong

Kuwaza tu nasikia maruweruwe................

Pole sana doc....

Hata mimi nikipanda ghorofa ndefu zaid ya 20 naanza kuhisi kama ubongo nimeuacha fllor ya kwanza
 
Mhhhh! yahitaji moyo sana, yanini kujiweka katika hali ya hatari kiasi hiki, ukiteleza tu wamekulia ubwabwa.
 
Mhhhh! yahitaji moyo sana, yanini kujiweka katika hali ya hatari kiasi hiki, ukiteleza tu wamekulia ubwabwa.

Na jina linabadilika mbeleni na kuanza marehemu
 
Hizi ndiyo sehemu zinazovutia kupiga "Selfie", siyo wale wapendao kupiga "Selfie" chooni kwa sababu kuna marumaru nzuri na taa za kumeremeta, alafu wanaandika "Home sweet home". Kumbe ni kwenye vyoo vya "public" au vya ofisi.

Hii imekaa mkao kumbe home sweet home ni kujinasibu tu hamna kitu hizo ni public toilet!..ha ha haaaa.
 
hapo akitokea nyuki akachafua hali ya hewa unaweza kuokotwa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…