Monsters University nzuri sana,
Napenda pia Animations,
Rango,
Frozen,
Frozen fever,
Pirates Fairy,
El dorado (the city of gold)
Atlantis,
Princess Swan,
Justin,
Sin bad,
How to train your dragon,
Mulan,
Tangled,
Etc.
Mi napenda Madagascar......Zambezia.....ice age na nut job.......
Lugha Yao ni mchanganyiko wa maneno kutoka almost lugha zote duniani ukisikiliza vizuri hdi maneno ya Kiswahili yamoNdio hao hao wanaitwa minions..wana lugha yao hamna anaeijuaaa
AhaaaaaLugha Yao ni mchanganyiko wa maneno kutoka almost lugha zote duniani ukisikiliza vizuri hdi maneno ya Kiswahili yamo
Ha ha ha! Ile nayo kali.Napenda animation sanaaaa
"Monsters university" hahahah mike wazowsk no way!
Mmh labda vimelogwaNatumia 6s lakini sioni vikija.......
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Au vimekufwaaaa.....
.....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
M natumia kwenye tapatalk appNielekeze.......