Selfie at Kigamboni bridge!!

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,394
4,748
Wadau habari zenu...kwenye thread hii natarajia kupokea picha za daraja la kigamboni kwa mtindo wa selfie!

Najiandaa kuelekea bongo na kupjipitisha darajani Kigamboni na kupiga picha 'selfie' ya ukumbusho.
 
Hahahah,jamaa wanalipiza sasa,wamkoani waliohamia Dar ni sheeda saana.
Mkitenga wenzenu na nyie jiandaeni likijengwa la Zanzibar - Dar
Hapo utakuta weengi wanaoenda kupiga picha ni Wanaume,yaani hawana kazi kabisaaa hasa wa DAR,wao ni kupoteza muuda tuuk wenye mambo yasiyo na maana mpaka kwenye takwimu wamo
Subirini lijengwe hili hapa chini,la Zanzibar - Dar es Salaam
 

Attachments

  • daraja1.jpg
    daraja1.jpg
    9.9 KB · Views: 387
Yan kesho asubui na mapema nakula selfie moja af natumia dem wangu huko mburu namwambia nmefata mzigo nombay, na hiz hata muda wakuangalia tv hana
 
Leo Una hasira Sana, umelala Na njaa nini?? Au ramani hazisomi?
Dar kwa kidume kulala njaa jambo dogo mno halituzingui, hapa nikusaka pesa mpaka zipatikane, nyie endeleni na shamba maana ndiyo shibe yenu.

Mchini shule na chichiniba shamba na jembe.
 
Dar kwa kidume kulala njaa jambo dogo mno halituzingui, hapa nikusaka pesa mpaka zipatikane, nyie endeleni na shamba maana ndiyo shibe yenu.

Mchini shule na chichiniba shamba na jembe.
Kwa hiyo huko mjini nyie mnakula mavi sio? Na sisi tunakula vya kutoka shamani, kalagabahooo
 
Wanaume wa dar nao mmeshaona daraja la kigamboni deal kweli. Tusije tukawalaza njaa maana hamlimi mnategemea sie wamikoani mtuheshimu na tukija huko mtukabidhi viburudisho
 
Back
Top Bottom