Kwani mazoezi yamewekwa kwa dini flani tu? Acha udini wewe! Lengo lako ushaeleweka haya lete propaganda zingine! Halaf wewe si ndio msemaji wa chama cha kikanda au? Sikushangai basi.. Endeleahii nimeiona habari za michezo tbc, watoto wa kike waliovalia mavazi ya hijab wakifunzwa mbinu za kupiga kwa mtindo wa 'kung fu'
Je malengo ni ya kuwapa uwezo wa kujilinda kibinafsi au kuna malengo yaliyojificha ya kuwaandaa kwa kazi maalum siku zijazo.
Wadau hebu nipeni maoni na uelewa wenu
hii nimeiona habari za michezo tbc, watoto wa kike waliovalia mavazi ya hijab wakifunzwa mbinu za kupiga kwa mtindo wa 'kung fu'

imeshakuwa ugonjwa mkubwa ilianza miaka ya sitini bila kukemewa... ni watu tu wanasahau.. waliitwa "waswahili" "wanywa kahawa" nk.. huu ni muendelezo... tulikemea hapa lakini kwa kuwa wapo wanaodhani wako nje ya jahazi wanapaswa kujua likianza kuzama kama si wao na sisi.. basi hata binamu litazama nao!!Ni haki yao kucheza mchezo wowote. Hakuna haja ya kuwahukumu na kuwaita majina. Hii islamophobia imeanza kuwa ugonjwa sasa hasa kwetu wabongo. Si ishara nzuri wanangu. Think like Tanzanians first the rest will take care of itself.