nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,689
Kama ni system wako kazin jeKuna majinga yanafurahi kupata namba yako eti
Ww picha iko wap sasa omba uwekewe pichaHabari?
Kwa yeyote ambaye amemuona mtu huyu pichani, tafadhali ninaomba msaada wa taarifa.
Majina yake ni Seleman Mdabi
Ni daktari katika Dispensary iliyopo Tabata kinyerezi. Kabila lake ni Mnyiramba. Kwa sasa ni mgonjwa. Amepotea tangu mwisho wa mwezi wa nane hadi Sasa.
Makazi yake ni Tabata Kinyerezi.
Kwa yeyote aliyemuona hivi karibuni naomba nipigiwe kwa namba 0712504985.
Ahsanteni.
Wapi picha?Kwa yeyote ambaye amemuona mtu huyu pichani
Ataweka amechoka analala kwanzaPicha yenyewe ikowapi?
Ww picha iko wap sasa omba uwekewe picha
Wapi picha?
Picha yenyewe ikowapi?
Umejuaje?Kuna majinga yanafurahi kupata namba yako eti
Nakucheki hupokei simu??
Naona hili tatizo la picha kutofunguka lishakua sugu sasa jf😌Nimeweka mkuu
Hongera mkuu, naona ushampata ndugu yake😊Nakucheki hupokei simu??
Naona hili tatizo la picha kutofunguka lishakua sugu sasa jf[emoji18]
HazifungukiTayari mkuu
Naunga mkono hoja inshort mods ili nalo wakalitazame [emoji1] [emoji1787] [emoji23]Naona hili tatizo la picha kutofunguka lishakua sugu sasa jf[emoji18]