Seleman Jaffo, karibu Kibaha vijijini

Feberia

JF-Expert Member
Aug 5, 2013
524
250
Kwanza nikupongeze Kwa kazi nzuri uzifanyazo na uhakika IPO Sikh utaeleweka Kwa Yale utakayo yatekelezeke.

Naibu Waziri upange safari ya kikazi utembelee Halmashauri ya wilaya ya Kibaha Vijijini utajionea uozo wa kutizha katika sekta ya Afya, Elimu, Ardhi na, maji na nyinginezo.

Katika ziara ukutane na watumishi wakueleze matatizo yao na vikwazo vilivyopo. Mfano likizo hatulipwi mpaka zinakutana japo OC zinaingia. Ukidai sana uhamishobila malipo na barua za vitisho Kwa kupitia Mkuu wako wa kitengo.


Wakuu wa Idara wamekuwa kama waungu Watu wayatakayo wao ndio wanayotekeleza Kwa kuangalia maslahi yao binafsi hasa Afya miradi, Elimu na maji. Ili use sawa inawalazimisha watu wajikombe kwao

Baadhi ya wakuu wa idara/vitengo wanauwezo Mdogo wa kielimu(vyeti wamepata Open) na hata wa kutoa maamuzi. Na tatizo kubwa jinsia moja ndio imetawala Kwa asilimia kubwa.


Madawa hakuna na uhaba wa watumishi ktk zahanati Kwa kuwajaza marafiki zao vituo vya mjini ( mlandizi) na endapo utatofautiana nao utapelekwa vituo vya mbali tena bila malipo na Kauli yao kama hutaki Nazi acha japo wengine wanazaidi ya miaka 20 Kituo kimoja cha kazi.

Elimu nako ndio kumeoza kabisa maana maabara zimejengwa chini ya viwango na hazijakamilika na walimu wamejazwa mjini na wengine wanatamka wazi hawawezi hamishwa kwani fedha wanayo na japo wamekaa Kituo kimoja cha kazi zaidi ya miaka 13
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom