unajua sometimes huwa kama inakua kichekesho humu jamvini.... issue ikishagusa kundi fulani la watu... utaona wanakuja na
oh unachemka
hasira za nini
shut up
usijidai unajua
wewe ni nani au wewe ni nothing
unfortunately a/wanasahau kubadili basi hata tone ya language kiasi kwamba inakua vigumu kuamini ati wako wengi... sasa hiyo ndogo, kuna ile ya pili ya users wchache ambao huchangia thread aliyoongea fulani tu, zaidi ya hapo hakuna kitu... na mara nyingi wanaingia online karibia kila wakati kwenye muda fulani... akilala mmoja basi wote wamelala, what a coincidence... kibaya zaidi huyu aki-log in, basi huyu anapisha etc...!!! THIS IS REALLY CRAZY!!!! I MEAN WHAT A COINCIDENCE!!!!
its Good that Zyansiku ameamua kukaa pembeni kwa muda maana kuna watendaji wa kutosha kwenye kambi ile teule