Selelii agoma kurudi Bungeni!?

Status
Not open for further replies.
mkuu uko sahihi kabisa... Nafanya hivyo kwa kuamini kwamba its only through provocation ndio tunapata rangi kamili ya mtu. Amini kwamba mlengwa amejua afanye nini na tatcitc zake nimezikubali. Usidhani akina malaria sugu, masaka, fmes hawana akili, hapana
Jifunze kutambua kwanini weninge ni provovative au wanakera... Ni malengo mkuu... Btw, umesoma michango yangu mingi, ipi' mbona mie sina mcango zaidi ya kujaza posts??
Nasikitika sijawahi kusoma michango yako.... Sijui kwanini???

Na mtakuja wengi sana mwaka huu....

BTW, siyo kila aliyepita muhimbili ni daktari, kuna manesi, wataalam wa maabara, wafamasia, environmental health specialists, mafundi mchundo wa allied health studies, walio-disco nk.. kwahiyo si lazima niwe na=practice... na cha maana ujiulize, juyo unayemtetea ana-practice??? na kama ndio je ndio main focus??? na kama siyo, utakwenda kwake kutibiwa?? wakati mezani ana katiba, ilani na sera za chama badala ya treatment guidelines, clinical books na journals??? au anafanya biashara ya mazao... sasa hapo pia ujiulize je kama ni biahsara ya mazao, alisoma agriculture??

lets think wakuu kabla ya kunyamazishana!!!
 

POST OF THE MONTH..

Hizo habari sijui za mbunge kuleta maendeleo, sijui tunahitaji damu mpya mjengoni blah blah blah...IS TOTAL WASTE OF TIME AND SPACE. Huo ndo ukweli.
 

Mmh
 

Dr unajibishana na mtu mmoja mwenye majina mengi lakini maandishi yake ni yale yale naye anataka ubunge teh teh teh hapa mwishoni ataishia kukutusi! check ur PM
 
Mweee! Mwaka huu watu wana hasira! Ni dalili njema kwa mstakabali wa TZ. Tunahitaji wapiga kuwa waliofura kwa hasira ili wapige kura justifiably!
 
Halafu kwa mtaji huu unataka kila mtu abaki hapo bongo?Siyo kila mtu anaweza kukaa na kushinda jalalani....Na pia si lazima wote wawe hapo bngo,huwezi kuweka everything kwenye kapu moja kwani kwa mtaji huo utapoteza kila kitu,kama mkishindwa kushirikiana na wenzenu wa nje,halafu mkaendeleza upuuzi kuna siku watarudi kukutandikeni bakora,nyumbani ni nyumbani tu na haina maana kwamba watu wamesahau kwao,asilimia sitini ya bajeti ya viongozi mnaowachagua inatoka huko waliko hao mnaodai wanabeba box,kuweni makini na kauli zenu na msimtukane mkunga na uzazi ungalipo kwasababu tuna uchungu sana na nchi yetu pia,msidhani kuwa manzese pekee ndo issue,issue ni ujinga na mazoea ya kushinda jalalani bila kuona kama kuna tatizo na huku ukila kuku tu.
 
Dr unajibishana na mtu mmoja mwenye majina mengi lakini maandishi yake ni yale yale naye anataka ubunge teh teh teh hapa mwishoni ataishia kukutusi! check ur PM

Masa na wengine wote

Tanzania ni nchi yetu na tusipoipenda na kuihangaikia, tutaishia kuzikwa kwenye makaburi ya maporini wakati baadhi wanazikwa kama vile wameshapitiwa na ufufuko, unfortunately, kuna wenzetu, na ni wapigananji haswa wameamua kutupa magwanda ya upiganaji na kuvaa kanzu za upishi kusaidia kundi dogo lenye kushika nchi.... wamewauza wazazi na ndugu zao na pengine watoto wao kutaka tu kupata nyumba, kuendesha vogue na kupata exemption kwa kupitia bendera za kwenye magari

simpingi mgombea yeyote wa ubunge bali nahoji dhamira... na nimeambiwa siwezi kuhoji dhamira.,.. i disagree, naweza kuhoji!!!! mimi binafsi nimechangia kimawazo kwa wagombea fulani kutengeneza ilani na plan zao hasa kwenye maendeleo ya jamii mazingira na ulinzi!!!

Hii mada inakua ngumu kwasababu kuna mtu/watu, hawataki kuulizwa, kukosolewa au hata kupewa plan B... kuna hata mtu amesema nina jazba wakati sidhani kama unaweza pata jazba kutokana na post... sanasana ni uchungu tu pale unapoona baadhi ya makamanda wanaishia kusahau walipotoka.

kuna mtu ameseama niseme kila kitu.. haiwezekani, hakuna uhuru usio na mipaka na hakuna mstaarabu asiyetumia tafsida!!! cha maana ni ujumbe kufikia hadhira

MY REQUEST TO HAMISI... IF IT IS NOT BROKEN, DONT FIX IT!!!!! MBUNGE WA SASA NI MMOJA WA WACHACHE SANA TANZANIA... USIMPINGE ILI UMPOTEZE KWASABABU YA TAMAA YA WATU WACHACHE

hao wengine siju muheza, mtanzania, kapwani buckreef nk. nafananisha na wacheza shoo tu maana wanatumia lugha kali, kauli za kutunga nk. hasa kutaka nikosee au ninyamaze... NO WAY!!!

TANZANIA IS MY LOVE
 

Tuko pamoja sana mkuu!
 
thanks kamanda... actually i thought of naming by baby boy mtanzania, lakini baada ya kuona madudu hapa nimeamua kutomwita hivyo

Ungeharibu jamaa is school drop out! SUA wanalijua hili pale Agriculture Engineering.....! Halafu anataka kuingia mjengoni...Ooohh God tusaidie kwa hili hatuhitaji vibaraka wa Lowasa.
 
Ungeharibu jamaa is school drop out! SUA wanalijua hili pale Agriculture Engineering.....! Halafu anataka kuingia mjengoni...Ooohh God tusaidie kwa hili hatuhitaji vibaraka wa Lowasa.

mkuu naona umeingia deep zaidi; labda ndiyo dare talk openly yenyewe... sasa juilize na huyu mwingi aliyesoma udaktari, public health na MBA juu halafu anauza pamba na kutibu huku mezani kaweka ilani, katiba na kitabu cha harambee ya uchaguzi badala ya treatment guidelines, journals na clinical tools

eniwei, nchi yetu inapoteza sana rasilimali watu kutokana na umaskini, ujinga, magonjwa na njaa!!!

Hayo ya mjengo ndugu yangu, ukishaharibu kitaa, inabidi utafute wakuu wakubebe uingine mjengoni... wapo wengi mazee na mwaka huu utasikia
 

mkuu De Novo hili ndiyo nililolisimamia toka mwanzo wa thread hii, watu wanataka kujenga hofu dhidi ya wabunge mashujaa ili katika mabunge yajayo wasitokee wengine wenye kuthubutu kuhoji na kusimamia ukweli kama akina Seleli. Hili lazima tulipinge kwa nguvu zote. Kuna wabunge wengi ndani ya CCM wanaokereketwa na madudu wanayofanya mafisadi lakini kwa uoga wa kushambuliwa kama inavyotokea kwa akina Seleli wameamua kubaki kimya. Na kama wote watabaki kimya tutakuwa tumeshindwa vibaya kama Taifa.

Watu wanaodai wanauchungu na mwendeleo ya wananchi wenzao wanapaswa kuwatia moyo wabunge wenye ujasiri kama Seleli na siyo kuwabeza, kuwapinga na kuwafanyia fitina. Hili si tu kukubaliana na utendaji wao bali zaidi kujenga kizazi cha wabunge shupavu katika kuhoji na kuiadinisha Serikali.

Dhana hii ni ngumu kukubalika, kinachonisikitika imekuwa ngumu kueleweka pia.
 

Pamoja sana mkuu!
 

THANKS SANA MASA NA NEMESIS

is there a way tukakutana na kuweka mambo sawa???? tuna uwezo, data na strategies za kuweka mambo sawa na si kuchnagisha mamilioni kama ilivyo sasa

sikatai pesa ipo na inahitajika lakini milioni hamsini ya selelii ni zaidi ya millioni 300 za kingwendu... oh sorry kingwangwala... let alone college drop-out, overzealous M-Tz who is myopic in nature!!!
 
Ungeharibu jamaa is school drop out! SUA wanalijua hili pale Agriculture Engineering.....! Halafu anataka kuingia mjengoni...Ooohh God tusaidie kwa hili hatuhitaji vibaraka wa Lowasa.

Masanilo na chuki zako kwa Mwakalinga zinajulikana. Huyo unayemwita drop out wa SUA unamzidi nini?

Heri hata aliye drop out SUA, kuna mamilioni ya watanzania hata huko kufika SUA tu hawajafika, kwa usomi wako wewe utawaita nini?

Sasa wewe ambaye unajiona sio drop out basi tuambie umefanya nini? Mitanzania mingine ina wivu wa kijinga!
 

Ninakituo cha radio Kyela na nimeishaanza kugawa laptop! Ndugu yangu learn to speaks volumes, niliisha sema na ninarudia Mwakalinga George hafai ni pandikizi wana Kyela. Nimemwomba Invisible aweka karibu ID detector yake LOL
 
Masa,
Na wewe angalia watakutukana na kukushambulia kwa ID zile zile, usijali lakini msg sent. Shukrani kwa kutupa data za M******n*a. aka mtazania aka mkulima:biggrin1:.

unajua sometimes huwa kama inakua kichekesho humu jamvini.... issue ikishagusa kundi fulani la watu... utaona wanakuja na
oh unachemka
hasira za nini
shut up
usijidai unajua
wewe ni nani au wewe ni nothing

unfortunately a/wanasahau kubadili basi hata tone ya language kiasi kwamba inakua vigumu kuamini ati wako wengi... sasa hiyo ndogo, kuna ile ya pili ya users wchache ambao huchangia thread aliyoongea fulani tu, zaidi ya hapo hakuna kitu... na mara nyingi wanaingia online karibia kila wakati kwenye muda fulani... akilala mmoja basi wote wamelala, what a coincidence... kibaya zaidi huyu aki-log in, basi huyu anapisha etc...!!! THIS IS REALLY CRAZY!!!! I MEAN WHAT A COINCIDENCE!!!!

its Good that Zyansiku ameamua kukaa pembeni kwa muda maana kuna watendaji wa kutosha kwenye kambi ile teule
 
Bro! Buckreef ni Kapwani, ni Mtanzania, ni muheza sio? Ndio ushauri wa PM wa masanilo.

Kumbuka usemi wa JK, akili ya kushauriwa changanya na ya kwako. Utakuja beba ugomvi bure na watu usio wajua kwa kutumia akili ya mwenzako.

mkuu soma kwanza post uielewe... au basi hata hapo ulipo-quote tu, nimesema hao wengine na sijasema huyo mwingine... pia nimesema nawafananisha na sijasema namfananisha... ndugu yangu, hata hiyo straight language umeshindwa kweli kuisoma na kuielewa?? ni joto la uchaguzi, bias au nini rafiki???

nakuomba sana ndugu yangu soma thead nzima vizuri na post zangu halafu uniambie kama nimesema hivyo... JF ina rules and regs zake, najaribu kuzifuata... hata kama ningekua najua nani yupo kwa ID zaidi ya moja, ningejaribu kutumia screen kusema hivyo. cha maana ni ujumbe kufika kwa mlengwa....

please read kwanza... hayo ya PM ni mengine kabisa na sidhani kama ni sahihi [kwa taratibu za JF] kuleta mazungumzo binafsi jamvini

BUCKREEF, NOTHING BUT LOVE BRO'
 
Sawa bro! wacha niachane na hii thread maana kila kukiingia mambo ya Kyela hapa huwa hapakaliki. Inaelekea kuna watu wana ugomvi wao toka mashuleni na wanaona JF ndio mahali pa kumalizana.

Mtu unaweza jikuta unatumika bila kujua ku settle scores za watu wengine za miaka kadhaa nyuma. Watu walitongozeana mabibi shuleni, basi vita yote inahamia JF. Kuna wengine hata walinyimana kuazimana vitabu basi sasa JF wamepata uwanja wa kumalizana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…