HKigwangalla
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 717
- 971
Kweli mkubwa tushawastukia hawa jamaa mara nyingi wanakuwa wametumwa ma mafisadi. Bora aendelee kuvuna mpunga tu!Mwenye macho haiambiwi ona, mkuu una post 41 zote zinamponda au mkejeli Samwel Sitta na Lucas Seleli. Mwenye macho anaona na kuujua ukweli, fisadis at work!.
Wana JF,
..................................................... .......................
Mh yupo bize kweli kweli jimboni japo hali yake inazidi kuwa mbaya kila kukicha na katika hali ya kushangaza amekuwa akitoa lugha mbaya za matusi kwa baadhi ya viongozi wa CCM hasa anapogungundua kuwa hawamuungi mkono.
Ahsante sana Zyansiku kwa kunifagilia na kunipa pongezi.
Wengine wanadhani mimi na wewe tuna ubia, naomba tu kusema hapa kwamba sikufahamu wala sijawahi kuwasiliana na wewe wala kujadili lolote lile kuhusu azma yangu ya kuwania Ubunge Nzega! Naomba tu pia niwataarifu ndugu zangu wanaJF kwamba mimi sina ubia na mtu yeyote yule katika harakati zangu za kuwania Ubunge, sijaombwa na wazee, sijatumwa na mtu yeyote yule - ila ni nafsi na dhamira yangu pekee iliyonituma kuutafuta Ubunge wa Nzega!
Jimbo la Nzega lina mtego tu kwamba yeyote atakayejitokeza kugombea basi atadhaniwa kuwa ametumwa na mtu, hususan akiwa na ushawishi na anakubalika zaidi ya Selelii! Hili lilijitokeza hata pale nilipoamua kutangaza nia yangu kwa umma kupitia vyombo vya habari, pale Habari maelezo! Hili linakuja kutokana na Selelii kujipambanua kama ni mbunge shupavu anayepambana na ufisadi! Wengi wanakuja kufikiri kwamba jimbo la Nzega lina maslahi ya watu fulani wanaoitwa mafisadi...na kwamba yeyote anayempinga Selelii basi anaungwa mkono na au ametumwa na hawa watu.....and this is a big misnomer! Kugombea Uongozi ni haki ya kikatiba ya kila Mtanzania, na hatuwezi kuliacha jimbo chini ya Selelii kwa kuhofia kusemwa tumetumwa! Tayari kuna watu zaidi ya watano wamekwishatangaza nia ya kuwania Jimbo la Nzega. Hivi wote hawa ni vibaraka wa mafisadi?
Regards,
Dr. Hamisi Kigwangalla.
Mbona huyo jamaa anakufagilia kitototo? au na wewe akili zako ni zakitototo kama yeye licha ya kuonyesha na MPH, MBa etc etc?Ahsante sana Zyansiku kwa kunifagilia na kunipa pongezi.
Wengine wanadhani mimi na wewe tuna ubia, naomba tu kusema hapa kwamba sikufahamu wala sijawahi kuwasiliana na wewe wala kujadili lolote lile kuhusu azma yangu ya kuwania Ubunge Nzega! Naomba tu pia niwataarifu ndugu zangu wanaJF kwamba mimi sina ubia na mtu yeyote yule katika harakati zangu za kuwania Ubunge, sijaombwa na wazee, sijatumwa na mtu yeyote yule - ila ni nafsi na dhamira yangu pekee iliyonituma kuutafuta Ubunge wa Nzega!
Jimbo la Nzega lina mtego tu kwamba yeyote atakayejitokeza kugombea basi atadhaniwa kuwa ametumwa na mtu, hususan akiwa na ushawishi na anakubalika zaidi ya Selelii! Hili lilijitokeza hata pale nilipoamua kutangaza nia yangu kwa umma kupitia vyombo vya habari, pale Habari maelezo! Hili linakuja kutokana na Selelii kujipambanua kama ni mbunge shupavu anayepambana na ufisadi! Wengi wanakuja kufikiri kwamba jimbo la Nzega lina maslahi ya watu fulani wanaoitwa mafisadi...na kwamba yeyote anayempinga Selelii basi anaungwa mkono na au ametumwa na hawa watu.....and this is a big misnomer! Kugombea Uongozi ni haki ya kikatiba ya kila Mtanzania, na hatuwezi kuliacha jimbo chini ya Selelii kwa kuhofia kusemwa tumetumwa! Tayari kuna watu zaidi ya watano wamekwishatangaza nia ya kuwania Jimbo la Nzega. Hivi wote hawa ni vibaraka wa mafisadi?
Regards,
Dr. Hamisi Kigwangalla.
Wakati mwingine tunasoma maelezo ndani ya JF na kujikuta midomo wazi. Bila furaha, bila hasira. Ingawa kila mtu bora akajibiwa na kupewa ushauri.
Dr Kigwangalla, mbona unamtuhumu Selelii kana kwamba muko chama kimoja? Uko CCJ?
Sikuwahi kusikia niya yako ya kugombea. Leo hii ningeweza kusema jaribu sana kujiweka sawa juu ya sababu yako. Haki ya kikatiba pekee siyo sababu ya kugombea maana hiyo kila mtu anayo.
Vipi mbunge wako wa sasa hafai?
Ulimshauri hakusikia?
Ulimpa maoni hakutaka? au ulikaa kimya kwa miaka 5 ukiwinda afanye makosa ili uwe mtaji kwako?
Kweli hujivunii kuwa na mbunge kama seleli ktk jimbo na Taifa hili?
Maoni yangu ni kwamba, hali ya nchi yetu ilivyo sasa hivi na hasa hiyo cartel system ya CCM, wananchi tunamhitaji Selelii. Usishangae maoni kama haya kuyakuta hata nje ya jimbo lako.
Mkuu MchunguZi bravo! maswali murua sana. Tena anatakiwa atufahamishe kwanini asiendelee kulitumikia taifa kwa utaalamu wake aliousomea au hivyo vyeti havifai tena? Maana kwa level hiyo elimu aliyonayo ni kubwa, ukiona mtu anatupilia mbali utaalamu wote huo anaenda kupiga makelele majukwaani inatia wasiwasi. Kama ameshafikia umri na ameshastaafu sitakuwa na haki ya kuuliza hilo, lakini kama bado then kuna shida kidogo.Wakati mwingine tunasoma maelezo ndani ya JF na kujikuta midomo wazi. Bila furaha, bila hasira. Ingawa kila mtu bora akajibiwa na kupewa ushauri.
Dr Kigwangalla, mbona unamtuhumu Selelii kana kwamba muko chama kimoja? Uko CCJ?
Sikuwahi kusikia niya yako ya kugombea. Leo hii ningeweza kusema jaribu sana kujiweka sawa juu ya sababu yako. Haki ya kikatiba pekee siyo sababu ya kugombea maana hiyo kila mtu anayo.
Vipi mbunge wako wa sasa hafai?
Ulimshauri hakusikia?
Ulimpa maoni hakutaka? au ulikaa kimya kwa miaka 5 ukiwinda afanye makosa ili uwe mtaji kwako?
Kweli hujivunii kuwa na mbunge kama seleli ktk jimbo na Taifa hili?
Maoni yangu ni kwamba, hali ya nchi yetu ilivyo sasa hivi na hasa hiyo cartel system ya CCM, wananchi tunamhitaji Selelii. Usishangae maoni kama haya kuyakuta hata nje ya jimbo lako.
Ahsante sana Zyansiku kwa kunifagilia na kunipa pongezi.
Wengine wanadhani mimi na wewe tuna ubia, naomba tu kusema hapa kwamba sikufahamu wala sijawahi kuwasiliana na wewe wala kujadili lolote lile kuhusu azma yangu ya kuwania Ubunge Nzega! Naomba tu pia niwataarifu ndugu zangu wanaJF kwamba mimi sina ubia na mtu yeyote yule katika harakati zangu za kuwania Ubunge, sijaombwa na wazee, sijatumwa na mtu yeyote yule - ila ni nafsi na dhamira yangu pekee iliyonituma kuutafuta Ubunge wa Nzega!
Jimbo la Nzega lina mtego tu kwamba yeyote atakayejitokeza kugombea basi atadhaniwa kuwa ametumwa na mtu, hususan akiwa na ushawishi na anakubalika zaidi ya Selelii! Hili lilijitokeza hata pale nilipoamua kutangaza nia yangu kwa umma kupitia vyombo vya habari, pale Habari maelezo! Hili linakuja kutokana na Selelii kujipambanua kama ni mbunge shupavu anayepambana na ufisadi! Wengi wanakuja kufikiri kwamba jimbo la Nzega lina maslahi ya watu fulani wanaoitwa mafisadi...na kwamba yeyote anayempinga Selelii basi anaungwa mkono na au ametumwa na hawa watu.....and this is a big misnomer! Kugombea Uongozi ni haki ya kikatiba ya kila Mtanzania, na hatuwezi kuliacha jimbo chini ya Selelii kwa kuhofia kusemwa tumetumwa! Tayari kuna watu zaidi ya watano wamekwishatangaza nia ya kuwania Jimbo la Nzega. Hivi wote hawa ni vibaraka wa mafisadi?
Regards,
Dr. Hamisi Kigwangalla.
Mabadiliko ya kweli yataletwa na sisi...!
Ahsante sana Zyansiku kwa kunifagilia na kunipa pongezi. Wengine wanadhani mimi na wewe tuna ubia, naomba tu kusema hapa kwamba sikufahamu wala sijawahi kuwasiliana na wewe wala kujadili lolote lile kuhusu azma yangu ya kuwania Ubunge Nzega! Naomba tu pia niwataarifu ndugu zangu wanaJF kwamba mimi sina ubia na mtu yeyote yule katika harakati zangu za kuwania Ubunge, sijaombwa na wazee, sijatumwa na mtu yeyote yule - ila ni nafsi na dhamira yangu pekee iliyonituma kuutafuta Ubunge wa Nzega!
Naomba wote walio karibu na Mh Selelii mshaurini arudi mjengoni tunamuhitaji sana lakini pia nitoe pongezi kwa Dr Kigwangala mbunge mtarajiwa wa Nzega maana amembana kweli kweli Selelii
Nawashukuru wote mliotoa michango kunihusu na hasa mliolenga maisha binafsi, pili nikupongeze sana Dr kigwangala kwa kujibu post hii nikiomba ukaze buti maana safari bado ni ndefu na wale wenye mawazo kuwa kila anayegombea Nzega katumwa basi pole zao na hasa nikiwajulisha kuwa selelii kurudi nzega kama Mbunge ni miujiuza! maana kabanwa kila kona ndo kwanza kaondoka jana kwenda Dom nadhani kuna mpambe ake humu Jf kampigia simu kibaya zaidi ana ahadi nyingi zisizotekelezeka kwenye maeneo mengi lakini cha kusikitisha zaidi kwa muda wa miaka mitano kuna maeneo hajakanyaga kabisa what do you expect kwa wapiga kura? ametumia miaka mitano kuzungumzia ,asuala ya Rich mond ambayo wana kijiji wa Mwamesu wala hawajui what is Rich mond; kama kuna wanao kereka sana na hili karibu Nzega mumuokoe Ndugu yenu hali yake ni mbaya kupita maelezo. keep it up Dr kigwangala!
Ahsante sana Zyansiku kwa kunifagilia na kunipa pongezi.
Wengine wanadhani mimi na wewe tuna ubia, naomba tu kusema hapa kwamba sikufahamu wala sijawahi kuwasiliana na wewe wala kujadili lolote lile kuhusu azma yangu ya kuwania Ubunge Nzega! Naomba tu pia niwataarifu ndugu zangu wanaJF kwamba mimi sina ubia na mtu yeyote yule katika harakati zangu za kuwania Ubunge, sijaombwa na wazee, sijatumwa na mtu yeyote yule - ila ni nafsi na dhamira yangu pekee iliyonituma kuutafuta Ubunge wa Nzega!
Jimbo la Nzega lina mtego tu kwamba yeyote atakayejitokeza kugombea basi atadhaniwa kuwa ametumwa na mtu, hususan akiwa na ushawishi na anakubalika zaidi ya Selelii! Hili lilijitokeza hata pale nilipoamua kutangaza nia yangu kwa umma kupitia vyombo vya habari, pale Habari maelezo! Hili linakuja kutokana na Selelii kujipambanua kama ni mbunge shupavu anayepambana na ufisadi! Wengi wanakuja kufikiri kwamba jimbo la Nzega lina maslahi ya watu fulani wanaoitwa mafisadi...na kwamba yeyote anayempinga Selelii basi anaungwa mkono na au ametumwa na hawa watu.....and this is a big misnomer! Kugombea Uongozi ni haki ya kikatiba ya kila Mtanzania, na hatuwezi kuliacha jimbo chini ya Selelii kwa kuhofia kusemwa tumetumwa! Tayari kuna watu zaidi ya watano wamekwishatangaza nia ya kuwania Jimbo la Nzega. Hivi wote hawa ni vibaraka wa mafisadi?
Regards,
Dr. Hamisi Kigwangalla.
Nawashukuru wote mliotoa michango kunihusu na hasa mliolenga maisha binafsi, pili nikupongeze sana Dr kigwangala kwa kujibu post hii nikiomba ukaze buti maana safari bado ni ndefu na wale wenye mawazo kuwa kila anayegombea Nzega katumwa basi pole zao na hasa nikiwajulisha kuwa selelii kurudi nzega kama Mbunge ni miujiuza! maana kabanwa kila kona ndo kwanza kaondoka jana kwenda Dom nadhani kuna mpambe ake humu Jf kampigia simu kibaya zaidi ana ahadi nyingi zisizotekelezeka kwenye maeneo mengi lakini cha kusikitisha zaidi kwa muda wa miaka mitano kuna maeneo hajakanyaga kabisa what do you expect kwa wapiga kura? ametumia miaka mitano kuzungumzia ,asuala ya Rich mond ambayo wana kijiji wa Mwamesu wala hawajui what is Rich mond; kama kuna wanao kereka sana na hili karibu Nzega mumuokoe Ndugu yenu hali yake ni mbaya kupita maelezo. keep it up Dr kigwangala!
Zyansiku,
Sijui kama Daktari anakutumia wewe kama mpambe au mshauri wake. Binafsi napenda sana mwana JF mwezetu aonyeshe uwezo wake na apate anachokitaka kwa uwezo. Hatupo hapa kuwa-challenge watu tuuu, au kuonyesha elimu zetu na nadhani ndo umuhimu wa kuwa anonymous maana kuna watu watatutisha kwa vyeti na tutajiona wanyonge kwao.
Kitaifa Selelii ni icon na ni heshima kwa Nzega kumuleta mtu kama huyo Bungeni. Unasema huko jimboni Selelii hajatimiza ahadi zake. Sijafahamu ni ahadi zipi. Hayo ni yenu wana-Nzega. Sasa unamleta Daktari ajaribu. Nasema ajaribu maana ni untested candidate. Anaweza kuwa safi kuliko Selelii lakini mbinu unayoitumia siyo nzuri. Unakataa yoote aliyoyaweza Selelii!
Tatizo la Nzega siyo lenu pekee. Na siyo la selelii maana michango yake Bungeni tuliiona. Yeye kama Mbunge alitimiza wajibu wake wa kuwasilisha matatizo ya wananchi na wengine tulitamani tuwe na mtu kama huyo. Aliyeshindwa kujali ni serikali. Naomba kabisa uichukie serikali ya CCM kwa kutomsikiliza selelii.
Tatizo lako unamchukia selelii kana kwamba angeleta hayo unayoyataka bila kuwa na serikali sikivu. Lakini, umeisikia bajeti yetu kwa mwaka huu? Nzega mumesikilizwa? Nani achukiwe?
Dr kigwangala, chukuwa tunayoyasema na unayodhani yanafaa. Ogopa sana ushabiki maana hakuna mwanasiasa asiye na shabiki. Mtaji wako isiwe ni kumudhalilisha Selelii. Huyu mtu ana heshima zake.