Selective Call Forwarding

Selective Call Forwarding

leh

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Posts
829
Reaction score
376
Wadau, kuna mahali nataka niende niache ofisini sipatikani. Tatizo ni kwamba bado nataka niwe hewani kwa watu wengine wote, iwe tu namba za ofisini ndio hawanipati. Najua kuna uwezekano wa call forwarding kwa namba zote (on condition or always), lakini nachotafuta ni kama namba kumi hivi wasinipate. Inawezekana?

Natanguliza shukrani
 
Chukua hizo kumi block zote
 
kuna mahali nataka niende niache ofisini sipatikani. Tatizo ni kwamba bado nataka niwe hewani kwa watu wengine wote, iwe tu namba za ofisini ndio hawanipati. Najua kuna uwezekano wa call forwarding kwa namba zote (on condition or always), lakini nachotafuta ni kama namba kumi hivi wasinipate. Inawezekana?
Tufata Call Control. Call Blocker
Code:
https://apkpure.com/call-control-call-blocker/com.flexaspect.android.everycallcontrol
Yaweza kusaidia kufanya kazi husika | Fanyia jaribio kwanza
Personal Blocklist

Is someone bothering you with phone calls and SMS text messages? If so - congratulations! You’ve just found the best solution for FULL protection! The only thing you need to do is add their number to your personal blacklist, & you can forget about them bothering you again!
 
blo

shida ya block ni huwa inasema namba "busy". nataka nisipatikane kabisa kabisa
Unatumia simu aina gani kwanza? Kuna simu zina harassment filter, kama namba hujaisev ikikupigia unaambiwa hupatikani
 
Au tumia Do not disturb kufanya setting kwa namba flan zisikupate

Screenshot_20230612-120230.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom