Jaribu kuwa mvumilivu mkuu tatizo ulilonalo ni tatizo la wengi,mapishi bado hayajaiva chakula kikiwa tayari kila mwenye njaa atakula na kushiba na kuvimbiwa kama atapenda kufikia huko
Nami Nimetazama profile yangu cas inaonesha programs nilizoomba ziko processed "YES" ila haioneshi nimechaguliwa program ipi. Nikitumia airtel *150*44# nikifika kwenye password inakataa kwamba nimekosea. Au nalazimika kuregister tena kupitia airtel?
Msaada marafiki naona presha inapanda.
Katika profile yako ulofungua kutokana na vocha namba ulopewa. Utakuta wamekujibu huko. Mtandao uko busy sana. Jaribu usiku muda ambao mtandao hauwi busy.
tulieni enyi mlio na ham ya kujua chuo ulichopangiwa, things should go step by step, be partient, no wor on that. Net inalzimika kuw busy kutokana na competation ya wengi kuhitaj kupata
huduma hii.
Hakuna uongo hakuna mambo yalitoka lkn baadae waligundua habari hizi hazikutoka officially ndo maana ss hivi ukibahatika ikafunguka inasema processed wait for official announcement hivo ni kusubilia tu