Gamlemilwe
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 290
- 202
Kwa wale wanafunzi waliokuwa wame apply nacte kwa certificate na diploma now result is out go and log in to view ur selection status www.nacte.go.tz
sawaAsante kwa kutujuza!
Hazikuhusu LakiniAsante kwa kutujuza!
Nilishukuru kwa niaba yakoHazikuhusu Lakini
Asante kushukuruNilishukuru kwa niaba yako
Sorry! You have not been selected to any of choise(s) you made due to various reasonsSamahan wakuu naomba msaada kuna mdogo wangu alituma maombi na wakamuletea hii sms Umefanikiwa kujisajili na NACTE OAVS. UserName: S5019/0004/2016 na Password: WMqpbA2m Zitumie kumalizia na kufuatilia maombi yako. kutoka: NACTE Mon May 22 17:57:39 EAT 2017.. Naomba mniangalizie
Vp issues ya joining instruction?