mzee alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 711
- 264
Wakuu naombeni kuuliza kwa wale ambao wameomba udahili kwa stashahada na astashahada kwa kozi mbalimbali je wataingia lini chuoni mwaka wao wa masomo unakuwa tofauti na walioingia tarh 25 September? Na pia selection zao zitatoka lini