Mkuu nina GPA kubwa Sana aisee. Yaani hadi wamefikia kushusha GPA wasingeweza kunifanyia hivyo. Kuna muda walibadili wakaniambia wait for selection. Nadhani tayari nimeshachaguliwa first option sema bado wananitia mapresha tuu.
angalieni kwenye vyuo mlivyoapply majina yatakuwepo, msitarajie NACTE wawataarifu, taarifa za selection za awamu hii zinatoka kwa style ya ushuzi wa Yusuuufffff