Johnson Kazimoto
Member
- Jun 9, 2016
- 33
- 9
Mkuu soma taarifa hii hapa chini au tembelea wavuti wa NACTE
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGWA KWA MUDA WA KUPOKEA MAOMBI YA UDAHILI WA KOZI ZA CHETI, DIPLOMA, DIPLOMA YA JUU NA SHAHADA YA KWANZA KUPITIA MFUMO WA UDAHILI WA PAMOJA (CAS) UNAORATIBIWA NA
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)
Tarehe 3 Juni 2016 ilikuwa siku ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya udahili wa kozi za Cheti, Diploma, Diploma ya Juu na Shahada ya Kwanza kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) unaoratibiwa na NACTE.
Baraza linapenda kuwaarifu waombaji udahili wa kozi tajwa hapo juu na umma kwa ujumla kuwa, kwa sasa maombi yote yaliyowasilishwa mpaka tarehe 3 Juni 2016 saa sita usiku yameanza kuchambuliwa kwa ajili ya kuchagua waombaji wenye sifa stahiki. Zoezi la kuchambua waombaji udahili na hatimaye kuchagua waombaji wenye sifa stahiki na waombaji hao kuidhinishwa na mamlaka husika na kutangazwa litachukua muda wa wiki nne (4) kuanzia tarehe 3 Juni, 2016.
Baraza linatambua uwepo wa waombaji wapya na baadhi ya waombaji walioshindwa kuwasilisha maombi yao kupitia mtandao ilipofika tarehe 3 Juni 2016. Waombaji wa namna hii na wengine wanaopanga kuwasilisha maombi yao kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) wanaombwa kuwa na subira mpaka hapo majina ya waombaji waliowasilisha maombi yao kabla ya kufungwa kwa mfumo watakapotangazwa.
Baada ya kutangazwa majina ya waombaji waliochaguliwa, Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) utafunguliwa tena kwa ajili ya kujaza nafasi za udahili ambazo zitakuwa hazijajazwa na waombaji waliowasilisha maombi yao kuanzia tarehe 4 Machi, 2016 hadi tarehe 3 Juni 2016.
Baraza linatarajia kufungua tena Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) kwa ajili ya kozi za Cheti, Diploma, Diploma ya Juu na Shahada ya Kwanza wiki ya mwishoni mwa mwezi wa Sita, 2016.
Imetolewa na
Ofisi ya Katibu Mtendaji
NACTE
Tarehe: 9 Juni, 2016
Jamani vichwa vinaumaa matumboo ya kuhara nomaaa, tunawasubiri NACTE kozi za Afya jamani chonde chonde tuleteeni majina tujue tufanye nini. Kama ni ada tuandae mapemaa kama ni kuendelea na kazi zetu za kuuza chipsi tuendelee kwasababu wengine ada tunajitafutia wenyewe.
Jamani mwenye tetesi zozote kuhusu lini NACTE wanatoa majina ya tulioapply kozi za Afya naomba atujulishe maana leo ni July 4. Kulikoni NACTE?
Ni tarehe 25/6 au tarehe 3/7 hivyo kuweni wavumilivu na taarifa zitatolewa kwa wale watakao chaguliwa, pia ni vizuri kuwa unatembelea kwenye tovuti ya Nacte kwa taarifa zaidi.Ningependa kujua ni lini Nacte uwa wanatoa majibu ya kujiunga na vyuo vya afya
UMEAPPROCSIMATE BUT NI wiki tatu adi nne toka june 3Ni tarehe 25/6 au tarehe 3/7 hivyo kuweni wavumilivu na taarifa zitatolewa kwa wale watakao chaguliwa, pia ni vizuri kuwa unatembelea kwenye tovuti ya Nacte kwa taarifa zaidi.
Yaaaap ni sahihi kakaUMEAPPROCSIMATE BUT NI wiki tatu adi nne toka june 3
Asante rafiki. Umenitoa hofuMkuu soma taarifa hii hapa chini au tembelea wavuti wa NACTE
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGWA KWA MUDA WA KUPOKEA MAOMBI YA UDAHILI WA KOZI ZA CHETI, DIPLOMA, DIPLOMA YA JUU NA SHAHADA YA KWANZA KUPITIA MFUMO WA UDAHILI WA PAMOJA (CAS) UNAORATIBIWA NA
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)
Tarehe 3 Juni 2016 ilikuwa siku ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya udahili wa kozi za Cheti, Diploma, Diploma ya Juu na Shahada ya Kwanza kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) unaoratibiwa na NACTE.
Baraza linapenda kuwaarifu waombaji udahili wa kozi tajwa hapo juu na umma kwa ujumla kuwa, kwa sasa maombi yote yaliyowasilishwa mpaka tarehe 3 Juni 2016 saa sita usiku yameanza kuchambuliwa kwa ajili ya kuchagua waombaji wenye sifa stahiki. Zoezi la kuchambua waombaji udahili na hatimaye kuchagua waombaji wenye sifa stahiki na waombaji hao kuidhinishwa na mamlaka husika na kutangazwa litachukua muda wa wiki nne (4) kuanzia tarehe 3 Juni, 2016.
Baraza linatambua uwepo wa waombaji wapya na baadhi ya waombaji walioshindwa kuwasilisha maombi yao kupitia mtandao ilipofika tarehe 3 Juni 2016. Waombaji wa namna hii na wengine wanaopanga kuwasilisha maombi yao kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) wanaombwa kuwa na subira mpaka hapo majina ya waombaji waliowasilisha maombi yao kabla ya kufungwa kwa mfumo watakapotangazwa.
Baada ya kutangazwa majina ya waombaji waliochaguliwa, Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) utafunguliwa tena kwa ajili ya kujaza nafasi za udahili ambazo zitakuwa hazijajazwa na waombaji waliowasilisha maombi yao kuanzia tarehe 4 Machi, 2016 hadi tarehe 3 Juni 2016.
Baraza linatarajia kufungua tena Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) kwa ajili ya kozi za Cheti, Diploma, Diploma ya Juu na Shahada ya Kwanza wiki ya mwishoni mwa mwezi wa Sita, 2016.
Imetolewa na
Ofisi ya Katibu Mtendaji
NACTE
Tarehe: 9 Juni, 2016
Hii imekaa Poa Sana tu!

Nashukuru sana nimeshaona tangazo. Asante rafiki mwema. Nimefurahi bado kuna watu sensible kama wewe JF (mmoja mmoja)Selection ni baada ya wiki 4 tokea walipofunga system ya kupokea maombi tar 03 Juni
Nashukuru sana nimeshaona tangazo. Asante rafiki mwema. Nimefurahi bado kuna watu sensible kama wewe JF (mmoja mmoja)