Kama unaharaka sasa kaitowe leoSelection ya Kidato cha Tano na Vyuo mwaka huu naona imechelewa, ingetoka mapema wazazi tujipange.
Uko nchi gani mkuu?Mbona kawaida tu si mwezi wa 5 bado aujaisha wiki ijayo wanaweza wasiipitishe wakatoa mana c unajua hata mtiani wenyewe wa form 4 wengine wamemaliza mwezi huu wa 5 nafikili kama kusagisha itakua hata bado japo wanaweza wao wakawekwa lamda kwenye second selection
Nchi yako mkuuUko nchi gani mkuu?
Mbona kimya mpaka leoSubiri form six wamalize pepa
Kama una link tuma mkuuTeyar Sasa mkacheki mlokua mnazisubiri selection
Link kiongozi inagoma nashindwa kuweka hapa hla naifanya jitihadaKama una link tuma mkuu
Nielekeze nikaangalie wapi bossLink kiongozi inagoma nashindwa kuweka hapa hla naifanya jitihada
Nielekeze nikaangalie wapi boss
Iv unaweza kuchange kutoka advance to chuo??Teyar Sasa mkacheki mlokua mnazisubiri selection
Eheee unaweza Hila sio kupitia tamisemi tenaIv unaweza kuchange kutoka advance to chuo??
Mkuu ubarikiwe sana. Nimefanikiwa kuona🙏🙏🙏