integral sign
Senior Member
- Jul 13, 2013
- 160
- 13
Waliochaguliwa na Nacte kwenda udsm halafu bado wanasema tusubiri confirmation kutoka chuo wana maana gani? Hapo hapo ukiingia website ya chuo, wapo silent kutoa majina na opening date in 31-10 hii imekaaje? Msaada kwa wale mlioulizia NACTE kuhusu hilo. Mi nipo mkoa
Mkuu in short kuna majina yamekwa rejected from udsm na wameyarudisha nacte...may be wewe mwenzangu ulichaguliwa provissionaly kwa kozi ipi?...mie nilikwa udsm via nacte jana!!
Mkuu hapo naona kama vile nishachanganyikiwa. Inawezekana kweli? Kwani zile nafasi zilikua za uongo nn? Kwa iyo hayo majina unaonaje?
Daah, nimepata Bsc. In Quantity Surveying. Sasa kwa nini hawasemi tuchague kwingine?
Hii nchi asee,hivi inakuwaje nacte wakuselect then chuo wanakureject?!Nani aliyejuu ya mwenzake kati ya hizo taasisi mbili?
Je, nacte wamechagua bila kuzingatia vigezo vya chuo husika ama?Lakini kingine wanakureject sasa hivi wakati vyuo vingi vimejaa inakuwaje?

udsm ni taasis inayojitegemea kuna viwango vyao wamejiwekea hata nacte wakikupeleka wao wakion unapwaya hawakuchukui,jaribu vyuo vya kata huko huwez kukosa
udsm ni taasis inayojitegemea kuna viwango vyao wamejiwekea hata nacte wakikupeleka wao wakion unapwaya hawakuchukui,jaribu vyuo vya kata huko huwez kukosa
Udsm wamerudisha majina kwa baadhi ya kozi pale nacte....ukienda wanakuonyesha(jamaa wapo transparent sana2 wanakueleza kila ki2)
Kuwa muelewa,sijakwambia mimi nimeapply kuna kipindi utakiwa uangalie vijana wenzako wanavyoteseka
Profile yako wamekuandikiaje zee seeker? unaweza weka screenshot japo kaujumbe tuu?Confirmation kwangu tayari,Angalia profile yako
So hayo majina waliokataliwa yapo nacte tukienda twaweza kuyaona