Selection UDSM 2014/2015

Mazee nsaidieni mdogo wangu huyu S1350/0015/2011 kama kapata au anatuumiza kichwa tuu nyumbani hapa
 
siku hizi main campus mnaita Mwl. j.k nyerere? haya hongereni mliochaguliwa kazi ni moja tu kusoma mambo ya kuanza kujifunza pombe na umalaya muache.
 
kuqnzia [silvester twewele] mmekosa isipokuwa misana nanai na agripina hao walioomba duce wamepata. nashindwa kureply moja moja network nilipo ni mbov sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom