mchapafito
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 607
- 302
ha ha ha ha ha ha ha....kweli mkuu bora tuepushe BANmkuu hata mim tusi limeishia njiani, nilitaka nimtukane tusi zito sana nimeogopa ban
Now u talk like a brother.....ipo hv hata ukiweza kununua kitanda full...huwezi kulala peke ako na huku kuna nduguzo kibao tu wanalala nje kwa wadern kaka.
Udugu ndo imani yetu....maisha ya pale yapo hvo.....hostel hazitoshi and thats it.
Tusamehene tu kwa matusi...ila hata mwenyewe ulivoniattack haikuwa sawa sana...''hv baed sijui mkoje'' haikuwa sawa kaka....amani kwako
Sio buku tu...sie tulikiwa kama 1700 hv....dhambi iko wapi hapo mkuu #ashyna walivyojaa sasa..unakuta intake ya mwaka wa kwanza tu wanafika buku..yani BAED peke yao wanajaza hall 5 na hall 2..
S1449/0046/2011
mkuu me huwaga mnanfurahishaga tu mnavyo waaproach madogo mpaka wanawaelewa wawabebe..binafsi nilivokuwa mwaka wa kwanza tulikuwa tunakaa room moja na mtu wa BAED. yule jamaa alikuja na godoro toka nje akawa analala sakafuni na godoro lake..na mpaka leo sijui lile godoro alilingzaje mule mabibo mana aliltoa nje...
we unadhani wasimcholonoe wakati asnanunuylika kirahisi tu na mafisadi.......amekosa mwelekeo
Naomba msaada wa kuangaliziwa hii namba S1875/0145/2011
weka nambanaomba msaada wa kuona kama nipo udsm
lwakatare frank mwesigwa,,bachelor of laws
ALL IS WELL.......nimekuelewa mkuu....me nimeishi Mabibo pale zamani kidogo labda siku hizi(miaka ya karibuni)...lakini enzi mimi nasoma hakukuwa na cases za kubebana kiviilee....Now u talk like a brother.....ipo hv hata ukiweza kununua kitanda full...huwezi kulala peke ako na huku kuna nduguzo kibao tu wanalala nje kwa wadern kaka.
Udugu ndo imani yetu....maisha ya pale yapo hvo.....hostel hazitoshi and thats it.
Tusamehene tu kwa matusi...ila hata mwenyewe ulivoniattack haikuwa sawa sana...''hv baed sijui mkoje'' haikuwa sawa kaka....amani kwako
huwa wanawapiga sound za hatari aisee....dogo hachomoki kizembe.....tena nasikia huwa wanawa prepare kisaikolojia since wapo form sixmkuu me huwaga mnanfurahishaga tu mnavyo waaproach madogo mpaka wanawaelewa wawabebe..binafsi nilivokuwa mwaka wa kwanza tulikuwa tunakaa room moja na mtu wa BAED. yule jamaa alikuja na godoro toka nje akawa analala sakafuni na godoro lake..na mpaka leo sijui lile godoro alilingzaje mule mabibo mana aliltoa nje...
huwa wanawapiga sound za hatari aisee....dogo hachomoki kizembe.....tena nasikia huwa wanawa prepare kisaikolojia since wapo form six
Ni ukweli usiopingika kwamba bila msaada wa anayeijua UDSM...tena hasa wa course kama yako....unaweza kujikuta anahairisha mwaka ukiwa umekaa chuoni week tano tu...kutegemeana ni nature ya binadamu....hata sie tulibeba so tubebwe tu....maisha yenyewe yako wapi???