Inaonekana TCU safari hii haitaachia majina ya jumla na badala yake wanaachia vyuo kwanza(ni mtazamo wangu tu). Tayari Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wametoa majina ya wanafunzi ambaa wamechaguliwa kujiunga na chuo hicho. Tarehe ya kuripoti ni 11 October.