Selection RUCO 2014/2015, angalia jina lako hapa

Selection RUCO 2014/2015, angalia jina lako hapa

Iv jaman hostel za chuo nkitaka kupata niwah kabla Ya trh waliosema au..? Maana naskia hostel chache pale ruco
 
kila la kher madogo chuo kiko poa me nimesoma hapo kiko mjini mtainjoi ila kwa wadada suruali marufuku ukivaa kimin kuna mlinzi anaitwa fungo uwiiiii anakurudisha ukavae vizur sijui kama yupo hadi leo

manka mambo vp ustaarabu wa hostel
 
Iv jaman hostel za chuo nkitaka kupata niwah kabla Ya trh waliosema au..? Maana naskia hostel chache pale ruco

hostel zipo nyingi ni kuwahi tu,kuna za palepale chuon ndani,kuna nmb line na vilevile kuna livinglight ipo kule wilolesi,jitahid kuwah tu
 
manka mambo vp ustaarabu wa hostel

ustaarabu upi kama za wavulana,ustaarabu ni zero aisee ila sbb utakuwa umeenda kwaajil ya kusoma basi hautababaika,unajua pale ni mjini,club maarufu kubwa ziko palepale jirani,mabank yote yapo palepale jiran,na hostel zenu ni kama madanguro
 
mm nina kamda huku ila sijajua upatikanaji wa hostel sehem nyingne. kuna sehemu inaitwa kichangan ndo naipata tuu. vp nyngne zpo located pande gan na za binafsi ata niulie kwa mataumbetta
 
Back
Top Bottom