Selection result

Selection result

Saivi hata ukiwa na dvtn 1 ukijichanganya kuomba medical doctor vyuo vya serikali unachezea za uso tu.
Kwahiyo kua makini na chaguo lako
 
Hapana kaka mm skuomba medical doctor bali nlikua nmechaguliwa clinical medicine sema ndo skua nme verify so naombeni msaada wakuu
 
Heb acha uongo dogo one point 14 serikali haiwezi kukupangia diploma
Abadani

Kwahy mm nakua muongo kiaje mkuu nachokuambia nina uhakika nacho na sipo apa kima sihala jambo hili linanisunbua ndo maan nahitaji mawazo yenu na sipo apa kwa ajili ya kuigiza maisha
 
Wapigie nacte watakusaidia kijana jitahid fanya haraka muda umeisha over
 
Huon kam wenye kaz hiyo tamisemi? Nenda kaonane na mkurugenzi wa wilaya( Huyu ndo tamisemi mwenyew)siyo mkuu wa wilaya
 
Yan ipo hv nlivyomaliza form four nilichaguliwa na TAMISEMI kwenda chuo cha clinical officers training centre Maswa- SIMIYU lkn kipind naenda ku report nkaambia kua sja confirm kua mwanafunzi wa pale ndo maan nahitaji msaada
Subir awamu ijayo tu, serikali wakiisha maliza selection wamemaliza aina kurud nyuma.
Labda nenda vyuo vya private
 
Kesho ukiamka mapema Sana kwenye saa mbili ingia kwenye website yao au waombe wana jamii forum Kama Kuna m2 ana namba ya nacte akupe kesho uwapigie

Namba za nacte nlipata japo sema nlizipata juma mosi. Sasa kuna mtu akawa amenishauri kua niwatafute sku ya kazi na mda wa kazi hapo ndo swala langu litasikilizwa
 
Vzur mkuu kesho wapigie watakusaidia
 
Yan ipo hv nlivyomaliza form four nilichaguliwa na TAMISEMI kwenda chuo cha clinical officers training centre Maswa- SIMIYU lkn kipind naenda ku report nkaambia kua sja confirm kua mwanafunzi wa pale ndo maan nahitaji msaada
Kwa sasa sizani Kama maombi yanapokelewa ila Unaweza kwenda moja kwa moja Chuoni unapo taka kusoma ukaomba Unaweza pata Nafasi.
Hii ni Bora zaidi
 
Subir awamu ijayo tu, serikali wakiisha maliza selection wamemaliza aina kurud nyuma.
Labda nenda vyuo vya private

Ni kwl kbsa, lkin ujue private ni gharama sana ambazo kwa wazaz wangu hawawezi kukabiliana nalo afu kibaya zaidi mm nasomeshwa kwa kufadhiliwa ko ata mfadhiri pia na yy anakua na mda wake so kila sku atakua anakushika mkono
 
Kwa sasa sizani Kama maombi yanapokelewa ila Unaweza kwenda moja kwa moja Chuoni unapo taka kusoma ukaomba Unaweza pata Nafasi.
Hii ni Bora zaidi

Ahaa , kwa mantiki hyo sasa ata chuo kinaweza kua na msaada kwako zaidi ya hata kupitia uko nacte
 
Ni kwl kbsa, lkin ujue private ni gharama sana ambazo kwa wazaz wangu hawawezi kukabiliana nalo afu kibaya zaidi mm nasomeshwa kwa kufadhiliwa ko ata mfadhiri pia na yy anakua na mda wake so kila sku atakua anakushika mkono
Nenda veta, ndio ushauri huo nakupa.

Maisha ya sasa ajira za serikali ni matatizo chungu nzima, ni ngumu kupata balaaaa.
Clinical officer
Medical doctors wako wengi tu mitaani.

Ila ukiwa fundi mwenye akili na mstadi hukosi kudaka tonge la kupeleka mdomoni.
 
Ni kweli kbsa kaka japo ni hobby yangu kusoma hyo course
 
Unangalia hobby badala ya kuangalia pesa,

Ukiambiwa ujitolee mwaka mzima kwenye zahanati bila malipo utakubali????

Sisi watoto wa maskini hatuangalii hobby tunaangalia wapi tutapata kitu cha kutusaidia tujikwamue.
 
Hahhahahahahha kaka angu una akili nyng japo mwngne anaweza asitambue maneno yako lkn ata kwa upeo wangu mdg huu nmeelew
 
Back
Top Bottom