Diana jerome
New Member
- Dec 5, 2019
- 1
- 0
Naombeni mnisaidie nimeomba vyuo round zote tatu sijafanikiwa kupata je nifanye nini ? Niweze kupata chuo
Unataka kusomea nn kwanza? Angalia na carrying capacity ya kozi katika chuo husika. Usikomae na malengo eti unataka md tena muhas alafu una two ya 12
Kwa mwaka huu dirisha limeshafungwa labda mwakani uombe tena ila usiombe kozi zenye ushindani
Yaani ulivyokosa round 1 kwenye kuomba round 2 ilibidi uchange kozi haraka sana uombe ambazo hazina ushindani...anyway hapo chakufanya ni kusubiria hadi mwakani tu maana sasaivi round ya 3 washafung
Kwa mwaka huu dirisha limeshafungwa labda mwakani uombe tena ila usiombe kozi zenye ushindani
Unataka kusomea nn kwanza? Angalia na carrying capacity ya kozi katika chuo husika. Usikomae na malengo eti unataka md tena muhas alafu una two ya 12
Fom 4Hapana kaka mim nina dvsn one ya 14
Fom 4
Unatak diploma au sijkuelew umepiga had 6?
Omba clinical ofisa chuo cha kilosa mkuu au untak kusomea nn n mkoa gan
Heb acha uongo dogo one point 14 serikali haiwezi kukupangia diplomaYan ipo hv nlivyomaliza form four nilichaguliwa na TAMISEMI kwenda chuo cha clinical officers training centre Maswa- SIMIYU lkn kipind naenda ku report nkaambia kua sja confirm kua mwanafunzi wa pale ndo maan nahitaji msaada