Bado may be kun MTU anayoJamani nasikia majina ya darasa la saba waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwakani 2017 yameshatoka.....
Mwenye link ya hayo majina atupie hapa.
Mmesikis IT hawana kazi ya kufanya hadi waweke selection za f1 kwenye linkJamani nasikia majina ya darasa la saba waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwakani 2017 yameshatoka.....
Mwenye link ya hayo majina atupie hapa.
Mkuu tambua kuwa nmeuliza ktu kwa ustarabu......kwo unavonijibu kwa povu kubwa na kubwabwaja hivo sidhan kama unanitendea haki.........Mmesikis IT hawana kazi ya kufanya hadi waweke selection za f1 kwenye link
Akili muhimu sanaMmesikis IT hawana kazi ya kufanya hadi waweke selection za f1 kwenye link
Naombeni Na Mimi hy linkJamani nasikia majina ya darasa la saba waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwakani 2017 yameshatoka.....
Mwenye link ya hayo majina atupie hapa.
Mi mwenyewe nimehangaika kuitafta hiyo link sijaipata........naskia selection za darasa la 7 huwa hawaweki online......kwaiyo jaribu kuwasiliana na walimu wa shule aliyokua anasoma huyo mtotoNaombeni Na Mimi hy link
Fika shuleniMwenye majina na shule walizopangiwa kidato cha kwanza 2017 wanafunzi waliomaliza darasa la saba wilaya Kinondoni Dar Es Salaam.
HahahaMmesikis IT hawana kazi ya kufanya hadi waweke selection za f1 kwenye link
Akili muhimu sana
Kwa hiyo form 1 sio watu?
Wabongo wakishapata vidigree wanasumbua sana wanaona wenzao kama makanjanja sana
Nadhani ndio utaratibu uliopo...........sikujua hiloNilidhani hayo majina kila mkoa unapewa mamlaka ya kutoa matokeo na kuwapingia shule!
Arusha...along tengeru-mererani roadInapatikana wapi......