Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Karibu karangai secondary school Ada yetu ni million moja tu kwa mwaka. Ahsante
Waeleze hali halisi ya karangai ilivyo.
Karibu karangai secondary school Ada yetu ni million moja tu kwa mwaka. Ahsante
Upo mkoa gani et?Inapatikana wapi......
Ukipata time nichek 0654438208npo mwanza
Boarding ?Karibu karangai secondary school Ada yetu ni million moja tu kwa mwaka. Ahsante
YapBoarding ?
IPO mkoa gani mkuu ?
Arusha karibu ns tengeruIPO mkoa gani mkuu ?
Hiyo laki Moja ni jumla na michango mkuuArusha karibu ns tengeru
Ni milioni moja sio laki bossHiyo laki Moja ni jumla na michango mkuu
Million Moja tu jumla na michango ?Ni milioni moja sio laki boss
Degree zenyewe za magumashi au za pichuAkili muhimu sana
Kwa hiyo form 1 sio watu?
Wabongo wakishapata vidigree wanasumbua sana wanaona wenzao kama makanjanja sana
vidigree vyenyewe vinawasotesha huku mtaani kutwa kuzunguka na vyeti maofisini kama manesi wa zamuAkili muhimu sana
Kwa hiyo form 1 sio watu?
Wabongo wakishapata vidigree wanasumbua sana wanaona wenzao kama makanjanja sana
Akili muhimu sana
Kwa hiyo form 1 sio watu?
Wabongo wakishapata vidigree wanasumbua sana wanaona wenzao kama makanjanja sana