Huenda akawa ni dogo kweli, ila si vyema sana kujihakikishia hivyo kwa kuchukulia kuwa kula anayekaenda chuo saizi labda ni chalii au ndio kamaliza shule, wengine ni wazee kabisa, watu wazima hata ulifaa kuwaita baba mdogoTukia dogo yatatoka tu!
Ni kweli! Kuna mtu ninamfahamu anajiandaa kustaafu. Lakini amejipanga kwenda kusomea digrii ya maabala miaka mitatu. Lengo lake ni kuja kufungua maabara yake aanze kula pesa mdogo mdogo. Nyumba atakayoweka maabara anayo, na keshaanza kufanya mipango ya kupata vifaa mdogo mdogo. Kozi ile kwake itakuwa mswaki sana maana ana shahada ya Chemistry na zoology yaani BSc (general) Chemistry & Zoology-1986. Anastaafu akiwa mwalimu wa A level akiwa mwalimu wa chemistry na biology. Alipata taaluma ya ualimu kwa kusoma PGDE. kwa hiyo kichwa bado kinadai na ni mzee wa miaka tu lakini ana nguvu zake na huwezi kumtofautisha na kijana wa miaka 40!!!!!. Anajiandaa kuwakimbiza madogo hapo MUHAS!!!!!Huenda akawa ni dogo kweli, ila si vyema sana kujihakikishia hivyo kwa kuchukulia kuwa kula anayekaenda chuo saizi labda ni chalii au ndio kamaliza shule, wengine ni wazee kabisa, watu wazima hata ulifaa kuwaita baba mdogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezi kuwa tarehe 30/8 maana tarehe hiyo ni ya majina kutoka rasmi wakati suala la multiple selection likiwa limeshatatuliwa tayari. Yaani ilibidi wahusika wenye multiple selection ambao ni wengi sana, wote wenye DIV I&II huangukia kwernye multiple selection!!!! Ilibidi yatoke 27/8 ili wahusika wa-konfirm chuo watakachoenda ili ikifika 30/8 vyuo ndo vitoe majina rasmi. Ukweli ni kiuwa TCU wameshachemsha tayari!!! Ratiba waliyoitoa imeshaingia mchanga.
Duh asa tutegemee lini?Haiwezi kuwa tarehe 30/8 maana tarehe hiyo ni ya majina kutoka rasmi wakati suala la multiple selection likiwa limeshatatuliwa tayari. Yaani ilibidi wahusika wenye multiple selection ambao ni wengi sana, wote wenye DIV I&II huangukia kwernye multiple selection!!!! Ilibidi yatoke 27/8 ili wahusika wa-konfirm chuo watakachoenda ili ikifika 30/8 vyuo ndo vitoe majina rasmi. Ukweli ni kiuwa TCU wameshachemsha tayari!!! Ratiba waliyoitoa imeshaingia mchanga.
Naomba kama kuna mtu aweza kujua
Kwel!Write your reply...30 wanatoa alhamisi namaanisha